Ticker

6/recent/ticker-posts

Ukirithi mtoto kisheria unarithi na majukumu kama mzazi.



Kwa mujibu wa sheria ya mtoto sura namba 13 ya 2019, kifungu cha 64(1)(b), mtu anaporithi mtoto kupitia utaratibu wa kisheria, majukumu yote ya kumlea mtoto aliyerithiwa yanahamishwa kwenda kwa mzazi aliyerithi mtoto.

Chapisha Maoni

0 Maoni