Ticker

6/recent/ticker-posts

Mahari sio takwa la kisheria.



Kwa mujibu wa sheria ya ndoa, MAHARI sio takwa la lazima kisheria ili kuweza kuifanya ndoa iwe halali. Mahari ni MILA, DESTURI na UTAMADUNI na kulipwa au kutokulipwa kwake hakuathiri ndoa.

Chapisha Maoni

0 Maoni