Kwa mujibu wa sheria ya udhibiti wa vinasaba vya binadamu, kifungu cha 25, maombi ya kupata vipimo vya DNA yanaweza kupelekwa kwenye maabara ya mkemia mkuu wa serikali na watu au taasisi Kama ifuatavyoi 1. Mahakama 2. Wakili 3. Polisi mwenye cheo cha, au zaidi ya inspecta 4.Taasisi za tafiti 5. Mkuu wa wilaya na 6. Daktari.
#sherianatehama #sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿