Ticker

6/recent/ticker-posts

Kula njama kudhoofisha haki na kuingilia mashahidi, jela miaka 5.



Kula Njama Kudhoofisha Haki na Kuingilia Mashahidi ⚖️

Kwa mujibu wa Kifungu cha 110 cha Kanuni ya Adhabu, mtu yeyote anayeshirikiana na mwingine kwa lengo la kuharibu mwenendo wa haki au kuingilia mashahidi, anakuwa ametenda kosa la jinai.

🚫 Vitendo vinavyohesabika kama kosa ni pamoja na:

🔹Kula njama na mtu mwingine kumtuhumu mtu kwa kosa ambalo si la kweli.

🔹 Kufanya au kupanga jambo lolote kwa nia ya kuzuia, kuchelewesha au kupotosha mwenendo wa haki.

🔹 Kumshawishi au kumzuia shahidi asiende Mahakamani au asitoe ushahidi kama alivyoitw­a kisheria, au hata kujaribu kufanya hivyo.

⚖️ Adhabu:

Kifungo cha hadi miaka mitano jela.

#SheriaZaTanzania #Ushahidi #Haki #JunguLaSheria ⚖️

Chapisha Maoni

0 Maoni