Ticker

6/recent/ticker-posts

Ni kosa la jinai kumshawishi au kumzuia shahidi asiende mahakamani au asitoe ushahidi.



Kwa mujibu na kifungu cha 110(b) cha kanuni ya adhabu, ni kosa la jinai kumshawishi au kumzuia shahidi asiende mahakamani au asitoe ushahidi kwa mujibu wa sheria, au hata kujaribu kufanya hivyo.

Adhabu ya kosa hili ni kifungo cha hadi miaka mitano jela.

Chapisha Maoni

0 Maoni