Ghasia na Kubomoa Majengo au Miundombinu 🏚️🔥
Kwa mujibu wa Kifungu cha 81 cha Kanuni ya Adhabu, kukusanyika kwa fujo na kisha kubomoa au kuanza kubomoa jengo, reli, mashine au miundombinu yoyote, ni kosa la jinai.
⚖️ Adhabu:
🔒 Kifungo cha maisha jela.
Sheria hii inalenga kukomesha vitendo vya ghasia vinavyosababisha uharibifu wa mali za umma au binafsi.
#GhasiaNiKosa #SheriaZaAdhabu #UlinziWaMali #JunguLaSheria 🇹🇿

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿