Ticker

6/recent/ticker-posts

Kupigana Hadharani Kosa la Jinai🥊🚫



Kupigana Hadharani Kosa la Jinai🥊🚫

Kwa mujibu wa Kifungu cha 87 cha Kanuni ya Adhabu, mtu yeyote anayeshiriki ugomvi au mapigano katika eneo la wazi au la umma anatenda kosa la jinai.

⚖️ Adhabu:

🔹 Kifungo kwa muda wa miezi sita,

au

🔹 Faini isiyozidi shilingi laki moja (100,000/=).

📍Sheria hii inalenga kulinda amani na usalama wa jamii dhidi ya fujo na ghasia hadharani.

#KupiganaNiKosa #SheriaZaAdhabu #AmaniMitaani #JunguLaSheria 🇹🇿

Chapisha Maoni

0 Maoni