Ticker

6/recent/ticker-posts

Mafunzo ya Kijeshi Bila Ruhusa ni Kosa la Jinai 🔫🪖

 


Mafunzo ya Kijeshi Bila Ruhusa ni Kosa la Jinai 🔫🪖

Kwa mujibu wa Kifungu cha 62 cha kanuni ya Adhabu, mtu yeyote anayefundisha au kufundishwa matumizi ya silaha au mazoezi ya kijeshi bila ruhusa ya Waziri wa Mambo ya Ndani, anatenda kosa la jinai.

🔹 Pia, mtu yeyote anayehudhuria mkutano au kikao cha aina hiyo bila kibali, anatenda kosa pia.

⚖️ Adhabu:
🔒 Kifungo cha miaka kumi na minne (14).

Sheria hii inalenga kulinda usalama wa taifa na kuzuia mafunzo ya kijeshi yasiyo halali.

#UsalamaKwanza #SheriaZaUsalama #MazoeziYaKijeshi #JunguLaSheria 🇹🇿

Chapisha Maoni

0 Maoni