💍 Maana ya Ndoa Kisheria 🇹🇿
Kwa mujibu wa Kifungu cha 9 cha Sheria ya Ndoa, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke, uliokusudiwa kudumu kwa maisha yao yote ya pamoja.
Na aina za ndoa ni;-
🔹 Ndoa ya mke mmoja, ambayo ni kati ya mwanaume mmoja na mwanamke mmoja kwa kujitenga na wengine wote.
🔹 Ndoa ya wake wengi, ni ndoa ambayo mume anaweza kuoa mke mwingine au wake wengine wakati ndoa bado inaendelea.
#SheriaYaNdoa #JunguLaSheria #HakiZaNdoa #MaishaYaNdoa #Tanzania🇹🇿

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿