Ticker

6/recent/ticker-posts

⚖️ JE, MTU ANAWEZA KUZIKWA KWENYE KIWANJA CHAKE BINAFSI?

 


⚖️ JE, MTU ANAWEZA KUZIKWA KWENYE KIWANJA CHAKE BINAFSI? 🤔

Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hakuna sheria inayokataza mtu kuzikwa kwenye kiwanja chake binafsi. Aidha, hakuna sheria inayomlazimu mtu azikwe kwenye makaburi ya umma pekee.

Hata hivyo, ni muhimu kufahamu kuwa kabla ya mazishi kufanyika ni lazima kuwa na kibali cha mazishi kutoka kwa mamlaka husika.

Chapisha Maoni

0 Maoni