Ticker

6/recent/ticker-posts

Kujifanya mtu mwingine mtandaoni ni kosa la jinai.

 


⚖️ KUJIFANYA MTU MWINGINE MTANDAONI — NI KOSA LA JINAI ⚖️

Kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Kimtandao [Sura ya 443 Toleo la 2023], Kifungu cha 15, ni kosa la jinai kujifanya mtu mwingine kwa kutumia mfumo wa kompyuta.

❌ Kujitambulisha kwa jina, picha au akaunti ya mtu mwingine mtandaoni bila ruhusa ya mhusika ni kosa la jinai.

📌 Adhabu yake ni kali:

Faini isiyopungua Shilingi Milioni 5, au

Mara tatu ya thamani ya faida uliyopata.

Au kifungo kisichopungua miaka 7, au vyote kwa pamoja.

Chapisha Maoni

0 Maoni