⚖️ KUCHAPISHA TAARIFA ZA UONGO MTANDAONI — NI KOSA LA JINAI ⚖️
Kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Kimtandao [Sura ya 443 Toleo la 2023], Kifungu cha 16, ni kosa la jinai kuchapisha au kusambaza taarifa mtandaoni ukijua kuwa:
❌ Ni za uongo
❌ Zinapotosha au kudanganya umma
❌ Zina lengo la kudhalilisha, kutishia, kudanganya au kuhamasisha uhalifu
📌 Adhabu:
Faini isiyopungua Shilingi Milioni 5, au
Kifungo kisichopungua miaka 3, au vyote kwa pamoja.
📝 Kabla ya kushare au kupost, hakikisha taarifa ni sahihi — mtandao una sheria.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿