Ticker

6/recent/ticker-posts

Kosa la kuvunja na kuiba.Na Johnson Yesaya. LL.B.



KOSA LA KUVUNJA NA KUIBA.

Hili ni kosa ambalo linahusisha kuvunja nyumba au sehemu ya nyumba, hema, au sehemu yeyote inayotumika kama makazi ya MTU kwa lengo la kutekeleza wizi.

Kosa hili likifanyika adhuhuru, adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela. Endapo kosa hili likifanyika usiku, adhabu yake ni miaka 20 jela.

Kosa hili lipo katika kifungu cha 294(1) na (2) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 TOLEO LA MWAKA 2019.

Chapisha Maoni

0 Maoni