Ticker

6/recent/ticker-posts

ADHABU ZINAZOWEZA KUTOLEWA NA MAHAKAMA.



KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 25.


Adhabu zifuatazo zinaweza kutolewa na mahakama:-

(a) kifo;

(b) kifungo;

(c) kuchapwa viboko;

(d) kutoza faini;

(e) kunyang’anywa mali kama adhabu kwa kosa;

(f) kulipa fidia;

(g) dhamana kwa kutunza amani na kuwa na tabia njema, au kwa kuhudhuria kupewa hukumu;

(h) adhabu nyingineyo yoyote inayotolewa na Kanuni hii au sheria nyingineyo yoyote.


Imeandikwa na mwanasheria

JohnsonYesaya Mgelwa (@yesayajm_ )

Wa Jungu la sheria Tanzania

0758218269/0628729934

Chapisha Maoni

0 Maoni