Mwenye jukumu la kusajili kifo ni nani?
Mwenye jukumu la kusajili kifo ni kama ifuatavyo:- Daktari, ndugu wa karibu wa marehemu aliyekuwepo wakati wa kifo.
Mtu aliyemhudumia wakati wake wa mwisho wa ugonjwa.
Mwenye nyumba.
Mpangaji.
Mtu yeyote aliyechukua jukumu la maziko ya marehemu.
1 Maoni
Daktar ndiye mwenyejukumu
JibuFutaWEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿