SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971 ILIYOREKEBISWA MWAKA 2019 KIFUNGU CHA 100.
Kwa mujibu ya sheria ya ndoa, hakuna MTU anaruhusiwa kufungua shauri kuhusu TALAKA ndani ya kipindi cha miaka miwili ya kwanza ya ndoa.
Kanuni hii inaweza kuvunjwa na kumruhusu mwanandoa kufungua shauri la TALAKA endapo kuna Mambo magumu anayapitia mwanandoa huyo kama Kipigo n.k.
Imeandikwa na mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_)
Wa Jungu la sheria Tanzania
0758218269/0628729934
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿