Kwa mujibu wa kifungu cha 63 (b) cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019.
MKE ana wajibu wa kisheria kama ilivyo kwa mume, KUMHUDUMIA MUME wake kwa mavazi, chakula na malazi endapo mume atakuwa hawezi kufanya kazi kutokana na kusumbuliwa na maradhi au ulemavu unaoathiri utendaji kazi wake.
Imeandikwa na mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa @yesayajm_
Wa Jungu la sheria Tanzania.
0758218269/0628729934.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿