SHAMBULIO DHIDI YA HAKIMU MIAKA "7" JELA.
KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 242.
KIFUNGU HICHO KINASEMA;
Mtu yeyote ambaye anashambulia na kumpiga au kumjeruhi hakimu yeyote, afisa au mtu mwingine aliyepewa mamlaka kihalali, au katika kutimiza wajibu wake, atakuwa anatenda kosa na atawajibika kwa kifungo cha miaka saba.
Imeandikwa na mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa
Wa Jungu la sheria Tanzania
0758218269.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿