Ticker

6/recent/ticker-posts

SHAMBULIO LINALOSABABISHA MADHARA YA MWILI.



SHAMBULIO LINALOSABABISHA MADHARA YA MWILI.

KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 241.


KIFUNGU HICHO KINASEMA;


Mtu yeyote ambaye anafanya shambulio linalosabisha dhara mwilini atakuwa anatenda kosa na atawajibika kwa kifungo cha miaka mitano.


Kusababisha dhara ni kuumiza, kutia ulemavu nk.


Imeandikwa na mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa

Wa Jungu la sheria Tanzania

0758218269.

Chapisha Maoni

0 Maoni