Kwa mujibu wa kifungu cha 60A(4) cha sheria ya elimu sura ya 353 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2016.
Kumtongoza mwanafunzi, kusaidia au kuwezesha mwanafunzi kuishi na MTU mwingine KIUNYUMBA ni kosa la jinai na ADHABU yake ni miaka 5 jela au faini isiyopungua milioni 5.
Imeandikwa na mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa @yesayajm_
Wa Jungu la sheria Tanzania
0758218269.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿