Ticker

6/recent/ticker-posts

KUTOA TAARIFA ZA UONGO MTANDAONI JELA MIAKA 3 AU FAINI MILIONI 5.



KUTOA TAARIFA ZA UONGO MTANDAONI JELA MIAKA 3 AU FAINI MILIONI 5.


KWA MUJIBU wa sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 kifungu cha 16..


Kuweka katika mtandao au mfumo wa kompyuta taarifa zozote kwa njia ya picha, maneno, au alama, na kwa makusudi kwa lengo la kuudhi, kuchafua au kukashifu mtu mwingine ni kosa na mtu anapokutwa na hatia ya kosa hilo ADHABU yake ni kifungo kisichopungua miaka 3 au ADHABU ya kulipa faini isiyopungua milioni 5 au vyote kwa pamoja.


Imeandikwa na mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa @yesayajm_

Wa Jungu la sheria Tanzania.

0758218269.

Chapisha Maoni

0 Maoni