KIFUNGU CHA 12 CHA SHERIA YA MTOTO ILIYOFANYIWA MAREKEBISHO MWAKA 2019.
Kinasema; MTU hatapaswa kuajiri mtoto au kumshughulisha mtoto katika SHUGHULI ambazo zina athari kwa mtoto kielimu, kiakili, kimwili, na kimaadili.
Kufanya hivyo ni kosa la jinai na adhabu yake ni miezi isiyozidi sita jela au kulipa faini isiyozidi milioni tano kama inavyoelezwa na kifungu cha 14 cha sheria hiyo ya mtoto.
IMEANDIKWA NA;
Mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_ )
Wa Jungu la sheria Tanzania.
0758218269/0628729934.
#sheria
#ijuesheria
#sheriahouse
#jungulasheria.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿