Sheria za Tanzania zinatoa HAKI YA KUJILINDA kutokana na shambulio au kulinda MALI dhidi ya uhalifu. Kila mtu ana haki ya kutumia nguvu ya kadri katika Kulinda Mali au uhai wake, au katika kulinda mali au UHAI wa mtu mwingine. MTU hatahesabika kuwa ametenda jinai endapo alitenda kwa nia ya KUJILINDA au kulinda UHAI au MALI dhidi ya SHAMBULIO au UHALIFU fulani.
Kanuni ya adhabu SURA 16 KIFUNGU 18, 18A, 18B, na 18C.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿