Ukimuacha MTU kwenye ARDHI yako kwa miaka 12 mfululizo bila kumsumbua, ardhi hiyo inakuwa ni mali yake. Sheria ya Ardhi na sheria ya ukomo wa muda zinaeleza kuwa MTU anaweza kumiliki ardhi kwa dhana ya kukaa muda mrefu katika ardhi bila kusumbuliwa na MTU yeyote hata kama wamiliki wa ardhi wapo.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿