Kwa MUJIBU wa sheria ya ardhi, ni watanzania wazawa pekee ndio wenye HAKI ya kumiliki ardhi Tanzania. Watu ambao sio wazawa na ambao sio raia wa Tanzania hawana HAKI ya kisheria ya kushikilia au kumiliki ardhi isipokuwa kwa lengo la uwekezaji pekee kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (T.I.C).
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿