Ticker

6/recent/ticker-posts

usajili wa vizazi na vifo



Kwa MUJIBU wa sheria ya usajili wa vizazi na vifo, ni JUKUMU la mzazi au mlezi kumsajili mtoto aliyezaliwa ndani ya kipindi cha siku 90. Mtoto anapozaliwa katika kituo cha afya, mzazi au mlezi ahakikishe anapatiwa Tangazo la Kizazi ambalo atalitumia katika mchakato wa kuomba cheti cha kuzaliwa. Endapo mtoto amezaliwa nyumbani, taarifa zitolewe kwa afisa mtendaji wa Kijiji ili apatiwe Tangazo la Kizazi.


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni