Kwa MUJIBU wa sheria ya usajili wa vizazi na vifo, wazazi wanaweza kuamua kubadili kabisa majina ya MTOTO ndani ya kipindi cha miaka miwili tangu kusajiliwa kwa MTOTO au katika kipindi chochote cha utoto mpaka pale mtoto atakapofikisha miaka 18. Baada ya kufikisha miaka 18, utaratibu wa kubadili jina hubadilika na hufanywa kupitia kiapo. Ili kubadili jina ni lazima kuwe na sababu ya msingi ya kufanya hivyo.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿