Ticker

6/recent/ticker-posts

Kosa kuendesha polepole.



Kwa MUJIBU wa kifungu cha 56 cha sheria ya usalama barabarani, ni KOSA kuendesha kifaa cha moto kwa mwendo wa taratibu kupitiliza bila sababu yoyote ya msingi. Kosa hilo adhabu yake ni faini isiyopungua elfu hamsini lakini isiyozidi laki moja.

Chapisha Maoni

0 Maoni