Kwa MUJIBU wa kifungu cha 17 (1) cha Sheria ya mtoto, ni kosa la JINAI kumruhusu mtoto kuingia katika ukumbi wa starehe ikiwemo sehemu ya vileo, muziki na starehe zingine. Kosa hili adhabu yake ni kifungo kisichozidi miezi 12 au faini isiyopungua milioni moja na isiyozidi milioni 5 au vyote kwa pamoja.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿