Kwa MUJIBU wa kifungu cha 17 (2) cha Sheria ya mtoto, ni kosa la JINAI kumuuzia mtoto pombe, sigara au bidhaa yoyote ya kulewesha, Kosa hili adhabu yake ni kifungo kisichozidi miezi 12 au faini isiyopungua milioni moja na isiyozidi milioni 5 au vyote kwa pamoja.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿