Kwa MUJIBU wa kifungu cha 8 cha sheria ya usalama barabarani, ni KOSA kuendesha kifaa cha moto ambacho hakijasajiliwa kabisa. Mmiliki au dereva wa chombo hicho, au wote kwa pamoja wanaweza kushtakiwa kwa kosa hilo. Adhabu ya kosa hilo ni faini isiyopungua laki moja na isiyozidi laki tano, au kifungo kisichopungua mwaka mmoja.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿