Ticker

6/recent/ticker-posts

LAZIMA kubeba cheti cha usajili wa chombo cha Moto.



Kwa MUJIBU wa kifungu cha 13 cha sheria ya usalama barabarani, Kila dereva au mwongozaji wa kifaa cha Moto anapaswa kubeba cheti halisi cha usajili wa chombo husika au nakala ya cheti halisi ambayo imeidhinishwa na msajili wa vyombo vya moto au mthibitishaji wa umma na kamishna wa viapo.

Chapisha Maoni

0 Maoni