Kwa MUJIBU wa kifungu cha 282 cha kanuni ya adhabu sura ya 16, MTU yeyote ambaye anatorosha, anaondoa au anaiba madini kutoka katika mgodi akiwa na nia ya udanganyifu, anafanya kosa la JINAI na adhabu yake ni miaka mitano JELA.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿