Ticker

6/recent/ticker-posts

Sababu za ndoa kuvunjwa na mahakama



Kwa MUJIBU wa sheria ya ndoa, miongoni mwa sababu ambazo zinaweza kuthibithisha kwamba ndoa imevuka na haiwezi kurekebishika ni usaliti wa ndoa, unyanyasaji, kubadili dini kwa mwanandoa mmoja, maradhi makubwa ya akili au kupata ukichaa, kushindwa kutekeleza wajibu wa ndoa n.k


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni