Ticker

6/recent/ticker-posts

KUDHAMINI SHUGHULI ZA KIVITA, JELA MAISHA.



KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 43 KINASEMA;

Mtu yeyote ambaye bila ya mamlaka halali anabeba, au anafanya maandalizi ya kubeba, au kusaidia au kushauri kubeba au utayarishaji wa kubeba vifaa vya vita vyovyote vile au shughuli za kivita dhidi ya mtu yeyote au kikundi chochote, ndani ya Jamhuri ya Muungano, atakuwa ana hatia ya kosa na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha.

Imeandikwa na mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_ )

Wa Jungu la sheria Tanzania

Chapisha Maoni

1 Maoni

  1. Las Vegas Casino Review 2021 | Dr.MCD
    Las Vegas' Wynn Las Vegas is a sprawling, smoke-free 시흥 출장샵 hotel and casino featuring 60000 여수 출장마사지 square feet of 안성 출장샵 gaming space, 50 gaming 아산 출장마사지 tables 용인 출장샵

    JibuFuta

WEKA MAONI YAKO HAPA.

TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.

KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿