Kwa mujibu wa sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015, katika kifungu cha 14.
Ni KOSA la jinai kusambaza picha zenye vitendo vya ngono au zinazoonyesha utupu, adhabu ya kosa hili ni faini kati ya Tsh milioni 20-30 au adhabu ya kifungo JELA miaka 7-10 au vyote kwa pamoja.
Imeandikwa na mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa @yesayajm_
Wa Jungu la sheria Tanzania
0758218269/0628729934
1 Maoni
Videoslots.org - Vimeo
JibuFutaVideoslots.org. Videoslots.org. Videoslots.org Videoslots.org is an online social network that offers a platform for social, offline, and online video youtube downloader production.
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿